Twaweza.org

'Ni sisi' sasa hewani

Video za Twaweza tumezozibatiza kama 'Ni sisi' zilizowekwa hapa chini ni sehemu 'A' ya matangazo mahususi ya Televisheni. Unaweza kufungua na kutazama kwa kubonyeza video uipendayo. Lengo lake ni kumfanya mtazamaji atafakari na uwashirikishe wengine maudhui yaliyoonyeshwa. Awamu ya pili ya matangazo haya, yaani sehemu 'B' itawajia punde.

Machinga waende wapi-A

Mkulima utalalamika hadi lini-A

Nani akarabati Daraja-A

Endelea kusoma: Ni sisi adverts

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri